Mbeguchoice
Majibu kuhusu - Eneo la -
Chaguo Zaidi
Ni muda upi wa mmea kukomaa unaokuvutia?
(Weka alama kwa zote unazohitaji)
Inayokomaa haraka zaidi Inayokomaa mapema Inayokomaa kawaida Inayochelewa kukomaa
Ni maumbile gani mmea yanayokuvutia?
(Weka alama kwa zote unazohitaji)
Inayohimili kiangazi Inayohimili magonjwa Inayohimili muda wa kuhifadhi/wadudu Inayopendelewa na wenye kuitumia
Je unatafuta aina ya mbegu kwa msimu wa mvua nyingi au chache?
CHACHE NYINGI ZOTE
Matokeo ngapi kwa kila ukurasa?
MUDA WA KUKOMAA
MUHOGO
• Inayokomaa haraka zaidi – miezi 6-8
• Inayokomaa mapema – miezi 8-10
• Inayokomaa kawaida – miezi 10-14
• Inayochelewa kukomaa – miezi 15-18
MINJI (CHICKPEA)
• Inayokomaa mapema - miezi 2-3
• Inayokomaa kawaida - miezi 3-4
MAHARAGWE YA KUTAMBAA
• Inayokomaa mapema - miezi 2-3
• Inayokomaa kawaida - miezi 3-4
MAHARAGWE ASILI
• Inayokomaa mapema - miezi 2-3
• Inayokomaa kawaida - miezi 3-4
KUNDE
• Inayokomaa mapema - miezi 2-3
• Inayokomaa kawaida - miezi 3-4
MAHARAGWE DOLICHOS
• Inayokomaa kawaida - miezi 3-4
WIMBI-FINGER
• Inayokomaa mapema - miezi 3-4
• Inayokomaa kawaida - miezi 4-6
• Inayochelewa kukomaa - miezi 6-7
VIAZI
• Inayokomaa haraka zaidi - miezi 2-3
• Inayokomaa mapema - miezi 3-4
• Inayokomaa kawaida - miezi 4-5
MAHINDI
• Inayokomaa haraka zaidi - miezi 2-3
• Inayokomaa mapema - miezi 3-4
• Inayokomaa kawaida - miezi 4-5
• Inayochelewa kukomaa - miezi 6 na juu
POJO/NDENGU
• Inayokomaa mapema - miezi 2-3
• Inayokomaa kawaida - miezi 3-4
WIMBI-PEARL
• Inayokomaa mapema - miezi 3-4
• Inayokomaa kawaida - miezi 4-6
• Inayochelewa kukomaa - miezi 6-7
MBAAZI(PIGEON PEA)
• Inayokomaa haraka zaidi - miezi 2-3
• Inayokomaa mapema - miezi 3-4
• Inayokomaa kawaida - miezi 4-6
• Inayochelewa kukomaa - miezi 6-8
MPUNGA(RICE)
• Inayokomaa mapema - miezi 2-3
• Inayokomaa kawaida - miezi 3-4
• Inayochelewa kukomaa - miezi 4-5
MTAMA
• Inayokomaa mapema - miezi 2-3
• Inayokomaa kawaida - miezi 4-5
• Inayochelewa kukomaa - miezi 6-8
MAHARAGWE SOYA
• Inayokomaa mapema - miezi 3-4
• Inayokomaa kawaida - miezi 4-6
VIAZI VITAMU
• Inayokomaa mapema - miezi 3-4
• Inayokomaa kawaida - miezi 4-5
• Inayochelewa kukomaa - miezi 5-7
NGANO
• Inayokomaa mapema - miezi 2-4
• Inayokomaa kawaida - miezi 4-5
MAUMBILE NA MAELEZO MAALUM
KUHIMILI KIANGAZI - Tabaka/ Variety hunawiri vyema katika hali ya ukame kushinda aina zinginezo za kawaida, na vilevile yaweza kunawiri kataka mazingira yasiyokuwa na ukame. Hili tajiko halimaanishi kuwa tabaka itanawiri katika mazingira yenye ukame kupindukia.
KUHIMILI MAGONJWA - Tabaka/variety yaweza kuambukizwa lakini huwa na uwezo ya kupambana na hali hiyo hadi kiwango cha kukomaa.
KUHIMILI WADUDU WAHARIBIFU WA SHAMBANI NA GHALANI - Tabaka/Variety inauwezo wa hali ya juu ya kuhimili uharibifu wa wadudu wa shambani na ghalani. Hata hivyo, tabaka haina uwezo wa uzuilifu wote.
INAYOPENDELEWA NA WATUMIZI - Tabaka/ Variety imefanyiwa utafiti kuhakikisha kuwa sifa zinazopendelewa na watumizi zimehifadhiwa. Hii yaweza kuwa uwezo wa kupondwapondwa, muda mfupi wa kupikwa, ladha, harufi safi, na mengineyo.
MSIMU/MVUA
MSIMU WA MVUA CHACHE – Tabaka/Variety inafaa kwa msimu wa mvua chache.
MSIMU WA MVUA NYINGI – Tabaka/Variety inafaa kwa msimu wa mvua nyingi
MSIMU WA MVUA ZOTE – Tabaka/Variety inafaa kwa msimu wa mvua nyingi na chache.
WASILIANA NASI

Tutafurahi kupata maoni yako, mapendekezo na marekebisho. Ukitaka tuwasiliane nawe kwa njia ya simu, tafadhali weka jina lako na nambari ya simu.

Данные обратной связи на этой копии не собираются.

KUHUSU MBEGUCHOICE
MbeguChoice ni ufanisi wa ushirikiano kati ya Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo nchini Kenya(the national research service), Shirika la Huduma za Afya ya Mimea nchini Kenya (the plant health service), Kampnuni za Mbegu nchini Kenya, na .

MbeguChoice ilibuniwa ili:
• Kusaidia wakulima wa Kenya, maafisa wa nyanjani na wauzaji bidhaa za kilimo kuweza kufahamu vyema aina za mbegu zilizopo.
• Kuhakikisha wakulima wanapanda aina za mbegu zinazofaa kwa maeneo yao ambapo ni kuhakikisha kwamba mbegu wanayochagua itatoa mazao bora.
• Kuonyesha aina bora za mbegu zilizomo masokoni ikiwa ni pamoja na maelezo maalum ya aina ya mimea na
• Kuboresha mazao mashambani kote nchini Kenya

Ukitaka habari na maelezo zaidi, bonyeza sehemu iliyoandikwa SeedWorks katika tuvuti yetu nyingine .

Mara kwa mara tunaongeza habari na malezo katika tuvuti yetu ya MbeguChoice.

SELECT LANGUAGE