Mbeguchoice
Shamba lako liko katika Kaunti gani?
Shamba lako liko katika maeneo/ekolojia yapi?  
Ni mmea gani unaotafuta?

Ona aina za mbegu »

MAENEO (EKOLOJIA)
Nyanda ya Chini - Chini ya 900 mita kutoka usawa wa bahari
Nyanda ya Chini Kiasi - 900 hadi 1200 mita kutoka usawa wa bahari
Muinuko Kiasi - 1200 hadi 1600 mita kutoka usawa wa bahari
Nyanda ya Juu Kiasi - 1600 hadi 1800 mita kutoka usawa wa bahari
Nyanda ya Juu - Juu ya 1800 mita kutoka usawa wa bahari
WASILIANA NASI

Tutafurahi kupata maoni yako, mapendekezo na marekebisho. Ukitaka tuwasiliane nawe kwa njia ya simu, tafadhali weka jina lako na nambari ya simu.

Данные обратной связи на этой копии не собираются.

KUHUSU MBEGUCHOICE
MbeguChoice ni ufanisi wa ushirikiano kati ya Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo nchini Kenya(the national research service), Shirika la Huduma za Afya ya Mimea nchini Kenya (the plant health service), Kampnuni za Mbegu nchini Kenya, na .

MbeguChoice ilibuniwa ili:
• Kusaidia wakulima wa Kenya, maafisa wa nyanjani na wauzaji bidhaa za kilimo kuweza kufahamu vyema aina za mbegu zilizopo.
• Kuhakikisha wakulima wanapanda aina za mbegu zinazofaa kwa maeneo yao ambapo ni kuhakikisha kwamba mbegu wanayochagua itatoa mazao bora.
• Kuonyesha aina bora za mbegu zilizomo masokoni ikiwa ni pamoja na maelezo maalum ya aina ya mimea na
• Kuboresha mazao mashambani kote nchini Kenya

Ukitaka habari na maelezo zaidi, bonyeza sehemu iliyoandikwa SeedWorks katika tuvuti yetu nyingine .

Mara kwa mara tunaongeza habari na malezo katika tuvuti yetu ya MbeguChoice.

SELECT LANGUAGE