Je wewe ni Mkulima? Jamaa ya mkulima? Muuzaji bidhaa za kilimo? Mtaalam wa nyanjani wa maswala ya kilimo?
MbeguChoice ni yako WEWE!
Je unatafuta aina ya mbegu inayokufaa? Ya kukomaa haraka? Yenye kuhimili kiangazi? Kwa manufaa maalum kama vile kuiva haraka inapopikwa? Kwa Zaidi?
MbeguChoice ni yako WEWE!
Jibu maswali rahisi kuhusu mahali ulipo na aina ya mbegu unayohitaji na MbeguChoice itakuonyesha mbegu mpya unayohitaji na kukupa maelezo zaidi.